WEBVTT
Kind: captions
Language: sw

00:00:00.000 --> 00:00:02.600
Habari bros? Jina langu ni PEWWWDIEPIE!

00:00:02.600 --> 00:00:06.580
Mnaeza relax siendi kabisa

00:00:06.580 --> 00:00:08.200
bado

00:00:08.200 --> 00:00:09.880
Naenda tu kwa safari nyingine

00:00:10.140 --> 00:00:13.120
Na nimeamua sitaupload video wakati huo

00:00:13.420 --> 00:00:15.520
kwa sababu nywele zangu ziko mbaya

00:00:16.220 --> 00:00:19.020
Nakaa kama Dmitri akijaribu kuuza sweatpants

00:00:19.020 --> 00:00:23.180
Uwa nikienda safari, mimi utengeza video kabla. Ni kazi nyingi sana

00:00:23.520 --> 00:00:24.880
But huwa tunafanya hivyo

00:00:24.880 --> 00:00:27.280
Lakini wakati huu ilikaa ni kama tunaforce

00:00:27.340 --> 00:00:31.420
Sitaki kuweka wingi wa video juu ya uzuri wa video

00:00:31.920 --> 00:00:34.380
sikuwahi dhani ntasema hivyo. nasikia ndivyo sivyo

00:00:34.880 --> 00:00:36.460
naskia nimeghadhabishwa

00:00:36.460 --> 00:00:40.700
Wingi wa video ndo unashinda youtube, hilo si swali. Angalia

00:00:40.700 --> 00:00:45.000
LeafyIsHere... hahahaha nacheza [Busuc] alvin [Busu tena]

00:00:45.000 --> 00:00:48.680
Mwaka uliopita nilipokuwa najitayarisha kwa Scare PewDiePie, nilitengeza video nyingi sana

00:00:48.680 --> 00:00:50.780
kwa sababu nilijua singekuwepo kwa mwezi moja

00:00:51.160 --> 00:00:51.660
na....

00:00:51.880 --> 00:00:54.460
Nilichukia sana hivyo, kwa sababu...

00:00:55.400 --> 00:01:00.360
Nilitengeza video nisizo zipenda

00:01:00.380 --> 00:01:06.360
Hakufurahisha lakini saa hiii nasikia vizuri juu nafurahia video ninazo tengeza

00:01:06.360 --> 00:01:08.800
Na nataka iwe hivyo

00:01:08.800 --> 00:01:10.140
hakuna tena video za mavi

00:01:10.640 --> 00:01:13.160
hicho ndo kichekesho cha kufurahisha kwa hii video

00:01:13.160 --> 00:01:18.140
Sijachukua leave kama hii kutoka youtube kwa muda wa miaka miwili.. inaogopesha kidogo

00:01:18.600 --> 00:01:22.540
Hujui kitakacho fanyika

00:01:22.720 --> 00:01:29.080
tafadhali rudi juu nitarudi

00:01:29.080 --> 00:01:32.660
Natumai nyote mwalewa mbona ninafanya hivi

00:01:32.660 --> 00:01:34.560
Ni hivyo ndo kutaenda

00:01:34.560 --> 00:01:39.400
Ahsante kwa kunielewa na kuendelea kunipa hisia zenyu.., na habari mmenipa

00:01:39.400 --> 00:01:45.820
zimekuwa nzuri sana. nataka kuendelea hivyo na nadhani hii ndio njia nzuri ya kufanya hivyo

00:01:45.820 --> 00:01:47.000
Kwa hivyo nitawaona

00:01:47.000 --> 00:01:48.260
Namba saba

00:01:48.280 --> 00:01:51.880
Kuweni na wakati mwema na mkumbuke [anabusu ngumi]

00:01:51.880 --> 00:01:52.860
Kaeni wanoma

00:01:54.840 --> 00:02:00.420
nilikuwa nataka kunyolewa K-POP lakini nimenyolewa kama mrusi anayeuza sweatpants?

