WEBVTT
Kind: captions
Language: sw

00:00:00.000 --> 00:00:02.873
PATREON hii ni onyesho la BRUSH FORCE

00:00:03.333 --> 00:00:06.533
Tafadhali toa msaada kwa ajili ya onyesho

00:00:06.760 --> 00:00:09.833
Tazama vipindi ili kufuatilia hadithi zetu za muziki

00:00:09.933 --> 00:00:12.993
Ya ligi ya MOBA inayosema hatushiriki

00:00:13.033 --> 00:00:16.126
Kwa hivyo tukajificha

00:00:16.156 --> 00:00:17.300
Kwenye miti

00:00:17.400 --> 00:00:17.999
Mbali kutoka

00:00:18.200 --> 00:00:19.966
NABLA FORCE!

00:00:20.206 --> 00:00:22.666
Kila wiki ni kipindi kipya

00:00:22.766 --> 00:00:26.666
Ni uigizaji!

00:00:26.766 --> 00:00:29.400
Na ni CLOSED CAPTION

00:00:29.500 --> 00:00:33.433
Kwa hivyo kila mtu anaweza fuatilia hadithi yetu

00:00:33.533 --> 00:00:35.800
Itakuwa CREATIVE COMMONS pia

00:00:36.899 --> 00:00:40.166
Kwa hivyo unaweza shiriki katika onyesho

00:00:40.266 --> 00:00:43.533
Sehemu za muziki na kazi za sanaa

00:00:43.633 --> 00:00:47.300
Unaweza kuchanganya!

00:00:47.400 --> 00:00:49.733
Na sasa ni

00:00:49.833 --> 00:00:50.833
wakati

00:00:51.933 --> 00:00:53.533
Wa Kujitambulisha wenyewe!

00:00:53.683 --> 00:00:56.233
Mimi ni PREMA PARK

00:00:56.393 --> 00:01:00.300
na mimi ni “mwenye nguvu wa kuinua” aitwaye DOCTOR OUCHY

00:01:00.450 --> 00:01:03.133
TULIP anatupa msaada

00:01:03.253 --> 00:01:06.809
BAAKO anabaki ndani mchana kutwa na kusoma vitabu vya sayansi

00:01:06.870 --> 00:01:08.366
Kuna timu 5 mbalimbali

00:01:08.466 --> 00:01:10.100
Kila mtu anapigania kushinda

00:01:10.200 --> 00:01:12.000
Lakini tutawaonyesha kwamba hawataweza

00:01:12.100 --> 00:01:13.633
Ingawa tunaweza kosa kutosha

00:01:13.733 --> 00:01:15.266
Sisi sio wageni kwa

00:01:15.366 --> 00:01:17.000
kukataliwa

00:01:17.100 --> 00:01:18.600
The NABLA FORCE, BROOGABOOS,

00:01:18.766 --> 00:01:20.600
Hewa, na Bahari!

00:01:39.033 --> 00:01:40.766
Tunahitaji msaada wenu

00:01:47.533 --> 00:01:48.933
Uwe wa kutoa msaada kwa ajili ya usanii

00:01:50.000 --> 00:01:50.933
Pata zawadi na nyingine nyingi unapo toa

00:01:51.133 --> 00:01:53.699
Na kujihisi vyema kuhusu kusaidia sanaa mpya!

00:01:54.066 --> 00:01:56.533
Kila wiki ni kipindi kipya cha muziki

00:01:56.833 --> 00:02:00.266
Ni uigizaji!

00:02:00.766 --> 00:02:03.300
Na ni CLOSED CAPTION

00:02:03.533 --> 00:02:06.899
Kwa hivyo kila mtu anaweza fuatilia hadithi yetu

00:02:07.500 --> 00:02:09.233
Utapata zawadi za ajabu kwa kutoa msaada

00:02:10.266 --> 00:02:13.566
Na pia shukurani zetu za dhati!

00:02:14.233 --> 00:02:17.033
PATREON hii ni onyesho la BRUSH FORCE

00:02:17.600 --> 00:02:20.166
Tafadhali toa msaada kwa ajili ya onyesho

00:02:20.533 --> 00:02:23.733
Ya ligi ya MOBA inayosema hatushiriki

00:02:24.133 --> 00:02:27.773
Tazama vipindi ili kufuatilia hadithi zetu za muziki

